Rais wa Marekani Joe Biden ametimiza mwaka mmoja madarakani tangu kuchaguliwa kuliongoza taifa hilo huku maoni yakionyesha utendaji wake kazi uko chini kutokana na mfumuko wa bei na janga la corona.
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari