Wamarekani wanapo omboleza vifo vya wanafunzi 19 wa shule ya msingi ya Robb mjini Uvalde, Texas, wabunge mjini Washington wanaendelea kujadili kwa hamasa suala la kupitisha sheria za kudhibiti umiliki wa bunduki.
Shambulizi katika shule ya msingi Uvalde, Texas
Kijana mwenye umri wa miaka 18 alishambulia kwa bunduki shule ya msingi ya Robb, mjini Uvalde, Texas na kusababisha vifo vya watoto 19 na walimu wawili.

5
Polisi wakiwa nje ya shule ya Robb baada tu ya shambulizi, Mei 24, 2022 huko Uvalde, Texas.

6
Wafanyakazi wa dharura wakikusanyika karibu na shule ya Robb kufuatia shambulizi la bunduki, Mei 24, 2022, huko Uvalde, Texas.

7
Mtoto akionekana na huzuni akiangalia nje akiwa ndani ya kituo cha Ssgt. Willie de Leon Civic, ambako wanafunzi walipelekwa baadaya kutokea shambulio ndani ya shule yao ya Robb Elementary mjini Uvalde, Texas, May 24, 2022.

8
Jennifer Click awakumbatia watu wanaoingia na kutoka kwenye kituo cha Ssgt. Willie de Leon Civic Center kufuatia shambulio la bunduki ndani ya shule ya Robb Elementary, Uvalde, Texas, May 24, 2022.