Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Mei 06, 2025 Local time: 19:11

Mikusanyiko ya kidini yalaumiwa kueneza Surua Zimbabwe.


Mikusanyiko ya kidini yalaumiwa kueneza Surua Zimbabwe.
please wait

No media source currently available

0:00 0:30:00 0:00

Kulingana na waziri wa afya wa Zimbabwe, mikusanyiko hiyo imechangia kueneza ugonjwa huo kote nchini, wakati baadhi ya waumini wakikataa kupokea chanjo kutokana na imani za kidini.

XS
SM
MD
LG