Ziara ya Zelenskyy imefanyika ikiwa siku 300 baada ya Russia kuivamia Ukraine mapema mwaka huu. Biden katika mkutano wake na kiongozi wa Ukraine aliahidi uungaji mkono wa Marekani pamoja na washirika wake kwa taifa hilo.
Matukio
-
Machi 30, 2024Movie ya Nigeria ya Over the Bridge yashamiri
-
Januari 05, 2024Maine yasema Trump hatokuwa kwenye orodha ya wagombea urais
-
Desemba 22, 2023Matatizo ya kisheria dhidi ya Trump yaendelea kujitokeza