Mabalozi wa Baraza la Usalama watembelea kambi ya Bushangara karibu na Goma.
Ujumbe wa Baraza la Usalama unatembelea Goma na kambi ya wakimbizi wa ndani ya Bushangara, ili kutathmini kazi za kikosi cha kulinga amani cha MONUSCO.

1
Mabalozi wa Baraza la Usalama na wajumbe wa mashirika ya huduma za dharura watembelea kambi ya Bushangara ya watu walokoseshwa makazi.

2
Mabalozi wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa watembelea kambi ya Bushangara karibu na Goma.

3
Bintou Keita Mjumbe maalum wa Katibu mkuu wa UN nchini Congo na Mkuu wa MONUSCO azungumza na polisi wakati wa ziara kwenye kambi ya Bushangara, karibu na Goma.

4
Mabalozi wa Baraza la Usalama Umoja wa Mataifa watembelea kambi ya wakimbizi ya Bushangara karibu na Goma.