Mabalozi wa Baraza la Usalama watembelea kambi ya Bushangara karibu na Goma.
Ujumbe wa Baraza la Usalama unatembelea Goma na kambi ya wakimbizi wa ndani ya Bushangara, ili kutathmini kazi za kikosi cha kulinga amani cha MONUSCO.

5
Mabalozi wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wakutana na wakimbizi kwenye kambi ya Bushangara, nje ya Goma siku ya umapili March 12, 2023.

6
Mabalozi wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa watembelea kambi ya wakimbizi ya Bushangara nje ya mji wa Goma

7
Wacongo walopoteza makazi yao wanaoishi katika kambi ya Bushangara wanawatizama mabalozi wa UN wakitemblea kambi yao March 10, 2023.

8
Mabalozi wa Baraza la Usalama la UN wazungumza na wajumbe wa wakimbizi katika kambi ya Bushangara karibu na Goma