Shirika la Fedha Duniani, IMF, inasema kuna uwezekano wa kuwepo hali ngumu ambapo viwango vya juu vya riba vinadhoofisha ukuaji kiasi cha kusababisha kudorora kwa uchumi hasa katika nchi tajiri zaidi duniani.
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari