Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Juni 21, 2025 Local time: 08:27

Zoezi la kuwaondoa raia wa kigeni nchini Sudan laendelea


Zoezi la kuwaondoa raia wa kigeni nchini Sudan laendelea
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:58 0:00

Zoezi la kuwaondoa raia wa kigeni limeendelea Jumatatu nchini Sudan wakati nchi mbalimbali zinafanya utaratibu kuwaondoa raia wake na wafanyakazi wa kidiplomasia nje ya nchi

. -Wakazi wanaoishi katika maeneo yaliyokuwa chini ya utawala wa M23 nchini DRC ambayo kwa sasa yanasimamiwa na vikosi vya Afrika Mashariki waeleza wanapitia hali ngumu ya kimaisha.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG