Viongozi wa Afrika watembelea Ukraine kwa juhudi za kumaliza vita vya Rashia na Ukriane
- Abdushakur Aboud
Marais Macky Sall wa Senegal, Hakainde Hichilema wa Zambia Cyril Ramaphosa wa Afrika kusini na Assoumani Azali wa Comoros,watembelea Ukraine kujaribu kutafuta njia za kuwaleta marais Volodomyr Zelensky wa Ukraine na Vladimir Putin wa Rashia kwenye meza ya mazungumzo.

1
Rais Vladimir Putin akutana na ujumbe wa viongozi wa nchi za Afrika mjini Saint Petersburg

2
Rais Vladimir Putin akutana na viongoiz wa nchi za Afrika mjini Saint Petersburg

3
Rais Vladimir Putin (L) wa Rashia na Rais Cyril Ramaphosa (R) wa Afrika Kusini wakutana kwenye Kasri Constantine (Konstantinovsky) kabla ya mkutano na ujumbe wa viongozi wa Afrika.

4
Rais Volodymyr Zelensky akutana na ujumbe wa viongozi wa nchi za Afrika mjini Kyiv.