Mafuriko yaliyosababishwa na kimbunga Doksuri kusini mashariki ya Asia
- Abdushakur Aboud
Watu 20 wamefariki nchini Uchina na zaidi ya watu 350 000 wamehamishwa kufuatia mafuriko yaliyotokana na moja wapo ya vimbunga vibaya kutokea kusini Mashariki ya Asia.

1
Wafanyakazi wa uwokozi watumia boti kupita njia zilizofurika na maji katika mtaa mmoja wa mji mkuu wa China wa Bejing baada ya Kimbunga Doksuri kusababisha uharibifu mkubwa na kuleta mvua nyingi.

2
Mtu na kijana wake watizama magari yaliyosombwa na maji ya mafuriko katika wilaya ya Mentougou nje ya Bejing.

3
Bibi harusi atolewa kanisani mjini Malolos, Ufilipino baada ya mafuriko kutokea mafuriko ndani ya kanisa kufuatia kimbunga Doksuri.

4
Watu wapita kwenye barabara iliyofurika katika mtaa mmoja mjini Bejing, Uchina, kufuatia kimbunge Doksuri.
Forum