Mapigano kati ya Israel na Hamas yaingia wiki ya sita, na kusababisha hospitali nyingi kusita kutoa huduma
- Abdushakur Aboud
Maafisa wa afya wa Gaza wanasema ukosefu wa mafuta imesababisha kusitishwa kazi kwenye hospitali kadha Gaza kaskazini ambako watoto watano wachanga wamefariki Jumapili pamoja na wagonjwa 7 walokua mahtuti baada ya mashini za kuwapa oxygen kusita kufanya kazi.

5
Watu walobeba mabango wakati wa mkusanyiko nje ya makao ya Msalaba Mwekundi mjini Washington kutaka mateka walochukuliwa Oktoba kuachiliwa na Hamas, November 12, 2023.

6
Maafisa wa ufaransa wakishiriki kwenye maandamano kulaani chuki dhidi ya wayahudi.

7
Wapalestina walojeruhiwa kutokana na shambulio la Israek wamepelekwa kwenye hospitali mjini Khan Younis, Nov. 12, 2023.

8
Mtoto ashanga akiwatizama watu wanavuta vitu chini ya vifusi baada ya jengo kubomolewa na shambulio la Israel huko Rafah kusini mwa Ukanda wa Gaza, Nov. 12, 2023.
Forum