Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Juni 09, 2025 Local time: 12:25

Kongamano la kuandaa mkataba wa kukomesha matumizi ya plastiki lakamilika Kenya


Kongamano la kuandaa mkataba wa kukomesha matumizi ya plastiki lakamilika Kenya
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Kongamano la kutengeneza mkataba wa kihistoria wa kukomesha matumizi ya plastiki duniani limekamilika katika jiji la Nairobi Kenya.

Kampeni za mwezi mmoja kabla ya uchaguzi mkuu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ilianza rasmi Jumapili kukiwa na wasiwasi juu ya kufanyika uchaguzi huo kwa njia huru na ya amani.

Zimbabwe yataabishwa na kuzuka kwa ugonjwa wa kipindupindu...

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG