Mamlaka ya Afya katika Ukanda wa Gaza inaelezea kwamba takriban watu 70 waliuawa katika shambulizi la Jumapili jioni kwenye kambi ya wakimbizi katikati ya Gaza.
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari