Balozi za Marekani katika nchi kadhaa zilikabiliwa na waandamanaji, walioghadhibishwa na kifo cha George Floyd kilichotokea Mei 25. Floyd alifariki baada ya polisi mzungu kuweka goti lake kwenye shingo lake kwa takriban dakika 9.
Dunia yalaani kifo cha Mmarekani mweusi akishikiliwa na polisi
Maandamano yamefanyika katika miji mbalimbali duniani Jumamosi, ikiwa ni mshikamano wa namna fulani na waandamanaji wa Marekani kufuatia kifo cha Mmarekani mweusi wakati akiwa mikononi mwa polisi mapema wiki hii.

9
Maandamano Washington, DC.

10
Great Britain, London, A person wearing a protective face mask holds up a Black Live Matters sign during a protest against the death in Minneapolis police custody of African-American man George Floyd
Nchini Uingereza mtu akiwa amevaa barakoa amebeba bango linalosema "Maisha ya Watu Weusi Muhimu" wakati wa maandamano dhidi ya vitendo vya polisi wa Minneapolis takati walipomkamata George Floyd.
Nchini Uingereza mtu akiwa amevaa barakoa amebeba bango linalosema "Maisha ya Watu Weusi Muhimu" wakati wa maandamano dhidi ya vitendo vya polisi wa Minneapolis takati walipomkamata George Floyd.

11
Maandamano Washington, DC.

12
Maandamano mjini Washington DC.