Mji mkuu wa biashara wa Gabon, Port-Gentil umepokea timu za kundi D katika finali za kuwania Kombe la afrika 2017. Mashabiki wa Mali, Ghana, Uganda na Misri walivamia mitaa ya mji huo kuanzia Jumanne timu zao ziliposhuka uwanjani.
Mji wa Port-Gentil wakaribisha Kombe la Afrika 2017

1
Mashabiki wa Mali katika mji wa Port-Gentil kabla ya mchuano wa timu yao siku ya Jumane Januari 16 2017. (VOA/ Timothée Donangmaye)

2
Bendera zinauzwa njiani katika mji wa Port-Gentil (VOA/ Timothée Donangmaye)

3
Mashabiki wa Mali katika mji wa Port-Gentil kabla ya mchuano wa timu yao siku ya Jumane Januari 16 2017. (VOA/ Timothée Donangmaye)

4
Mashabiki wa Mali washerehkea katika mji wa Port-Gentil kabla ya mchuano wa timu yao siku ya Jumane Januari 16 2017. (VOA/ Timothée Donangmaye)