Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Mei 07, 2025 Local time: 00:14

Ethiopia: Safari za ndege kwenda Tigray zarejea baada ya vita kusitishwa


Ethiopia: Safari za ndege kwenda Tigray zarejea baada ya vita kusitishwa
please wait

No media source currently available

0:00 0:00:54 0:00

Wasafiri wa kwanza wa ndege kwenye uwanja wa kimataifa wa ndege wa Addis Ababa wamewasili Jumatano kutoka jimbo la Tigary baada ya ndege za shirika la ndege la Ethiopia kuanza tena safari zake.

Shirika hilo lilikuwa limesitisha safar hizo kwa miezi 18 tangu vita vilipoanza kwenye eneo hilo. Tangazo hilo limetolewa siku moja baada wajumbe wa ngazi ya juu serikalini kufanya ziara ya kwanza jimboni humo tangu kutiwa saini kwa mkataba wa amani mwezi uliopita.

XS
SM
MD
LG