Mapigano yanaendelea kati ya waasi wa M23 wanaoungwa mkono na serikali ya Rwanda. Ungana na mwandishi wa VOA Mary Mgawe akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa UN, anayezungumzia misaada ya dharura Joyce Msuya akiwa New York. Endelea kusikiliza ...
Matukio
-
Machi 14, 2025Changamoto za ulezi wa watoto walemavu kiakili Kenya
-
Februari 28, 2025Waislamu wajitayarish kwa Ramadhani
-
Februari 27, 2025Ethiopia na Somalia waimarisha uhusiano wao
-
Februari 18, 2025Nini kilichosababisha Raila Odinga kushindwa katika uchaguzi wa AU?