Mapigano yanaendelea kati ya waasi wa M23 wanaoungwa mkono na serikali ya Rwanda yamesababisha watu kukimbia makazi yao. Ungana na mwandishi wa VOA Mary Mgawe katika sehemu ya pili ya mahojiano hayo akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa UN, Joyce Msuya akiwa New York. Endelea kusikiliza ...
Zinazohusiana
Matukio
- 
Machi 14, 2025Changamoto za ulezi wa watoto walemavu kiakili Kenya
 - 
Februari 28, 2025Waislamu wajitayarish kwa Ramadhani
 - 
Februari 27, 2025Ethiopia na Somalia waimarisha uhusiano wao
 - 
Februari 18, 2025Nini kilichosababisha Raila Odinga kushindwa katika uchaguzi wa AU?
 - 
Februari 11, 2025Naibu Katibu Mkuu aeleza hatua za dharura zinazochukuliwa DRC
 
Forum