Jeshi la DRC lafanikiwa kuudhibiti mji wa Sake ulioko kaskazini mwa Goma

1
Mkuu wa operesheni ya kupambana na waasi wa M23, Jenerali Mbangu akiwa na makamanda wengine.

2
Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, FARDC, limepelekwa katika mstari wa mbele huko mji wa Sakae kupambana na waasi wa M23.

3

4