Washambulizi wa Al-Shabab wameshambulia chuo kikuu cha Garissa, kaskazini mashariki ya Kenya na kusababisha vifo vya takriban watu 70 kulingana namaafisa wa serikali na zaidi ya 70 kujeruhiwa.
Al-Shabab washambulia chuo kikuu cha Garissa Kenya
1
Kifaru cha jeshi la Kenya kikiwasili karibu na chuo kikuu cha Garissa,Garissa, Kenya, April 2, 2015.
2
Polisi wa Kenya wakikaribia majengo ya chuo cha Garissa kwa uangalifu mkubwa
3
Wananchi wa Garissa wakisubiri kuchangia damu katika hospitali ya Garissa ambako wengi waliojeruhiwa wamelazwa
4
Kifaru cha jeshi la Kenya katika barabara kuelekea chuo cha Garissa