Papa Francis ametoa wito wa Umoja huko Jamhuri ya Afrika ya Kati na kuwataka wananchi kutoruhusu tofauti za kidini kuwagawanya, akiwa katika kituo cha mwisho cha ziara yake ya Afrika.
Papa Francis Atembelea Jamhuri ya Afrika ya Kati

1
Rais Museveni akimpa mkono hasimu wake wa kisiasa Besigye, kwa mara ya kwanza baada ya miaka 25

2
Papa Francis akishangiliwa na wakazi katika kambi ya wakimbizi aliyoitembelea mjini Bangui, Jamhuri ya Afrika ya Kati siku ya Jumapili, Nov. 29, 2015.

3
Watoto wanaomsubiri Papa Francis katika kambi ya wakimbizi mjini Bangui wabeba karatasi inayotowa wito wa amani nchini mwao.

4
Watoto wakijaribu kumpa mkono Papa Francis alipotembelea kambi ya wakimbizi mjini Bangui.