Rawlings aliyefariki November 12, 2020, atakumbukwa kama kiongozi aliyeongoza mapinduzi ya kijeshi nchini humo, mara mbili na baadaye kuleta mfumo wa demokrasia kwa taifa hilo la Afrika Magharibi.
Rais wa zamani wa Ghana Jerry Rawlings afariki akiwa na umri wa miaka 73
- Abdushakur Aboud
Kiongozi wa zamani wa Ghana Jerry Rawlings, atakumbukwa kwa kudumisha demokrasia na kuleta utulivu nchini mwake pamoja na kukuza uhusiano wa kimataifa.

5
Marais wa zamani J. Rawlings wa Ghana, O. Obasanjo wa Nigeria na T. Mbeki wa Afrika Kusini

6
Marais Nelson Mandela wa Afrika Kusini na Jerry Rawlings wa Ghana mjini Ouagadougou kwenye mkutano wa OAU

7
Malkia Elizabeth wa Uingereza na Rais Jerry Rawling nje ya bunge la Ghana mjini Accra Novemba 1999

8
Marais wa zamani Jerry Rawlings wa Ghana na Thabo Mbeki wa Afrika Kusini mjini Accra