Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Mei 06, 2025 Local time: 15:59

Russia yaishambulia tena Ukraine kwa kombora la hypersonic


Russia yaishambulia tena Ukraine kwa kombora la hypersonic
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:18 0:00

Russia yafanya shambulizi la kombora la masafa marefu la hypersonic Ukraine, ambapo lilikuwa ni shambulizi la pili.

Wakati maafisa wa Ukraine wameeleza majeshi ya Russia pia yameharibu jumba la sinema ambapo mamia ya watu walikuwa wamechukua hifadhi, likiwa na tangazo limeandikwa, watoto, nyuma na mbele ya jengo hilo.

XS
SM
MD
LG