Upinzani umepinga matokeo yaliyo tangazwa Januari 16 ukidai wizi mkubwa umefanyika. Kulingana na Tume ya Uchaguzi Museveni amepata asilimia 58.6 za kura huku mpinzani wake mkuu Bob Wine akiwa amepata asilimia 34.8.
Waganda wengi washeherekea ushindi wa Rais Museveni
- Abdushakur Aboud
Baadhi ya wananchi wa Uganda wakisheherekea ushindi wa Rais Yoweri Museveni kufuatia Uchaguzi Mkuu unaomweka madarakani kwa muhula wa sita, huku upinzani ukipinga matokeo.

5
Walinzi wa Usalama nje ya nyumba ya mgombea Robert Kyagulanyi, wakati matokeo ya uchaguzi yakitangazwa

6
Wauza magazeti mjini Kampala, Uganda wakitembeza magazeti kuhusu uchaguzi

7
Simon Byabakama, katikati, mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Uganda akitangaza matokeo

8
Tume ya uchaguzi ya Uganda ikiongozwa na Simon Byabakama wamaliza kutangaza matokeo ya uchaguzi