Baadhi ya watu walikuwa wanasubiri kwa saa kadhaa hadi milango ilipofunguliwa.Papa mstaafu huyo alifariki Jumamosi asubuhi akiwa na umri wa miaka 95. Benedict alikuwa ni papa wa kwanza katika miaka 600 kustaafu kutoka wadhifa wake huo.
Matukio
-
Machi 14, 2025Changamoto za ulezi wa watoto walemavu kiakili Kenya
-
Februari 28, 2025Waislamu wajitayarish kwa Ramadhani
-
Februari 27, 2025Ethiopia na Somalia waimarisha uhusiano wao
-
Februari 18, 2025Nini kilichosababisha Raila Odinga kushindwa katika uchaguzi wa AU?
-
Februari 11, 2025Naibu Katibu Mkuu aeleza hatua za dharura zinazochukuliwa DRC