Rais Magufuli pia amemteua Hussein Bashe, mbunge wa Nzega Mjini, kuwa Naibu Waziri wa Kilimo.
Mashabiki wa timu Misri waligawanyika makundi mawili wengi wao wakiishabikia timu ya taifa ya Senegal.
Rais wa TFF Tanzania atoa ufafanuzi juu ya kuondoka kwa kocha wa timu ya taifa ya Tanzania baada ya timu yake kutolewa katika michuano ya AFCON.
Lakini pendekezo hilo, ambalo Zarif amelielezea kama ni “hatua muhimu” alisema limepuuziwa.
“Mteja wetu kutoka mwanzoni ... amekuwa akichukuliwa kama mtu mwenye makosa,” amesema wakili wa Zuma, Muzi Sikhakhane.
Makadirio ya Benki ya Dunia yanaonyesha kwamba uchumi wa nchi hiyo utakua kwa asilimia 5.4 ikiwa ni chini ya asilimia 7.1 kwa mujibu wa makadirio ya serikali, Ripoti hiyo imeeleza.
Uamuzi uliotangazwa Jumatano ni kujibu hatua ya Uturuki kununua mfumo wa kujihami wa anga aina ya S-400 kutoka Russia
“Ni idadi gani ya vyombo vya habari huru vitaachwa nyuma wakati Burundi itakapofanya uchaguzi wa rais mwaka 2020?,”
Mjumbe wa kamati ya utendaji ya CAF Leodger Tenga
Sehemu nyingine ya mkataba huo, ni tamko la kikatiba, linalotarajiwa kusainiwa mapema Ijumaa.
Watu 33 waliuawa katika shambulio hilo na wengine 56 kujeruhiwa.
Tunisia yaingia semifainali baada ya kuitoa Ghana
Mara baada ya shambulizi hilo mjini Kismayu, Somalia
Al-Shabaab wanadai kuhusika na shambulizi hilo la Ijumaa katika hoteli ya Medina, Kismayu, Somalia
Wanamgambo wa al-Shabaab wanadai kuhusika na shambulizi hilo.
Washabiki wa Nigeria watamba baada ya kuifunga Afrika Kusini
CPJ imeitaka serikali ya Tanzania “kutoa maelezo kamili kwa umma” juu ya kile kilichomfika Gwanda kupelekea kuuawa.
Darroch katika kumkosoa Trump ilikuwa pamoja na kumuelezea kiongozi huyo wa Marekani kama ni mtu "asiyemudu madaraka yake", "asiyejiamini" na "asiyekuwa na uwezo wa uongozi" na serikali yake “kwa njia ya kipekee haifanyi kazi.”
Miaka minane baada ya Sudan Kusini kupata uhuru wake, njaa inaendelea kuiathiri nchi hiyo. Ripoti ya Umoja wa Mataifa inaonyesha takriban nusu ya wakazi wa nchi hiyo – watu milioni 6.1- wanakabiliwa na kiwango fulani cha ukosefu wa chakula.
Katika hotuba kwa majaji wa ICC, Ntaganda alikiri kuwa alisifika kama “Muuaji” lakini alisema, “Mimi siko hivyo.”
Pandisha zaidi