Rais wa chama cha soka cha Misri Hani Abou Rida amejiuzulu na kikosi kizima chaufundi kufuatia kutolewa kwa timu hiyo kusikotarajiwa katika michuano ya soka ya kombe la mataifa ya Afrika nchini Misri.
Maelfu ya wapenzi wa soka nchini Misri wajitokeza katika pambano la Afrika Kusini na Misri.
Mchezaji wa kimataifa wa Uganda Emmanuel Okwi, amewashukuru wana Afrika Mashariki kwa kuinga mkono timu ya Uganda na kuwa moyo wakati wote wa michuano hiyo.
Senegal iliwanyuka Uganda moja bila katika pambano lililokuwa kali la mtoano wa raundi ya 16 ya michuano ya AFCON. "Kusema kweli sijawahi kuona timu yenye stamina na washambuliaji hodari kama Uganda," ameeleza nyota wa timu ya Senegal Sadio Mane.
Rais Donald Trump atatoa hotuba ya salamu zake kwa taifa la Marekani Alhamisi, Jioni
Rais pia ameamrisha Jeshi la Marekani kupeleka magari ya kijeshi, vikiwemo vifaru,
Utafiti huo unaonyesha kuwa polisi nchini Kenya mara kwa mara wameshindwa kuzingatia sheria
Moussa Faki Mahamat, ametaka uchunguzi huru ufanyike na hatua zichukuliwe dhidi ya waliohusika na uhalifu huo wa kusikitisha.
Mechi za kwanza Ijumaa zitakuwa baina ya wawakilishi pekee wa Afrika Mashariki, Uganda, dhidi ya Senegal.
Mechi za kwanza Ijumaa zitakuwa baina ya wawakilishi pekee wa Afrika Mashariki dhidi ya Senegal katika uwanja wa Cairo International
Misri kuchuana na Afrika Kusini Jumamosi...
Raundi ya pili ya fainali za kombe la mataifa ya Afrika, AFCON, itaanza Ijumaa baada ya kumalizika kwa raundi ya kwanza Jumanne.
Trump amesema Jumamosi kuwa anaridhika na kitendo cha Saudi Arabia kununua vifaa vya kivita vinavyo tengenezwa na Marekani
“Hiyo ni kunipa wasifu usiolingana na nafasi yangu katika jamii,” alijibu Biden
Wanawake wa Kenya wakiwa na bashasha baada ya timu yao ya taifa kuifunga timu ya Tanzania magoli matatu kwa mbili.
Mshabiki wa Kenya atabiri mechi ya Tanzania na Kenya
Wamisri wakisheherekea ushindi baada ya kuifunga DRC 2-0.
Kuhusu suala la Iran, Seneta wa jimbo la New Jersey Corey Booker alikuwa mgombea pekee kusema kuwa haungi mkono makubaliano ya nyuklia na Iran na kuiita "uamuzi wenye makosa."
Kiongozi wa PLO Hanan Ashrawi amepokea kwa furaha uamuzi huo na utambuzi wa namna yeyote ule wa taifa la Palestina.
Misri ni nchi yenye utamaduni wake yakiwemo mavazi na vinywaji. Lakini katika michuano ya kombe la AFCON watu wa kutoka mataifa mbalimbali pia wanashiriki katika kuhamasisha wachezaji kutoka nchi zao.
Pandisha zaidi