Mchambuzi Abdullah Matitu wa Tanzania akieleza mapungufu yaliyojitokeza katika mechi ya Tanzania na Senegal.
Mapigano ya wenyewe kwa wenyewe yameikumba Amhara na miji mingine miaka ya hivi karibuni.
Mwandishi wa VOA Sunday Shomari akizungumza na Mwalimu Kashasha nchini Misri masaa machache kabla ya mechi ya Tanzania na Senegal, Jumapili
Mwenyekiti wa Chama cha Soka Burundi Urio Reverian atoa ufafanuzi kuhusu mechi ya Jumamosi wakati akihojiwa na Mwandishi wa VOA Sunday Shomari...
Mwandishi wa VOA Sunday Shomari akimhoji Kapteni wa Timu ya Tanzania Mbwana Samatta nchini Misri
Baadhi ya picha zilizokuwa na mvutio mkubwa kwa watazamaji siku ya Ijumaa wakati wa pambano kati ya Misri na Zimbabwe.
Wananchi wa Misri wajitokeza mitaani kusheherekea ushindi baada ya kuifunga Zimbabwe
Hali ilivyokuwa kabla ya mechi kuanza katika uwanja wa mpira nchini Misri.
Katibu Mkuu : "... mpaka sasa hakuna taarifa yeyote iliyothibitishwa ya kuwepo kwa tishio la shambulio ... "
Msemaji wa jeshi la Marekani :"Hakuna ndege ya Marekani iliyokuwa inaruka katika anga la Iran hivi leo."
UNHCR imefichua kwamba idadi kubwa ya watu walilazimika kuyakimbia makazi yao mwaka 2018 kwa sababu ya vita, unyanyasaji na migogoro.
Shambulizi la Aprili 2, 2015 lilifanywa na watu wanne wenye silaha kutoka kikundi cha al-Shabaab, chenye makao yake Somalia.
Callamard alisema wakati asingeweza kujua nani aliyeamrisha mauaji hayo, serikali ya Saudi Arabia ni wazi inawajibika kwa hilo.
Ripoti ya UN : zaidi ya theluthi mbili za wakimbizi wote duniani wanatokea nchi tano tu – Sudan Kusini, Syria, Afghanistan, Somalia, na Myanmar.
Morsi alifikishwa mahakamani Jumatatu kusikiliza kesi yake juu ya mashtaka ya ujasusi ambapo alianguka.
Ni kinyume cha sheria kwa mtu yeyote kuomba, kukubali au kupokea kitu chochote cha thamani kutoka kwa raia wa kigeni katika uchaguzi Marekani,” Weintraub
"... nataka kusisitiza kuwa kwa familia na jamii zilizoathirika na ugonjwa huu, mlipuko wa Ebola ni suala la dharura,”
Kuwasili kwa wanaozungumza Kifaransa na Kireno kutoka nchi za Kiafrika imefanya ofisi ya Forodha na Ulinzi wa Mipakani kuanza kutafuta wakalimani.
Jeshi la majini la Marekani, limetoa video inayoonyesha boti ya Iran inayofanya doria katika Ghuba ya Oman ikiondoa bomu lililokuwa halijaripuka liliokuwa pembeni ya meli ambalo halijalipuka kutoka katika moja ya meli ya mafuta iliyoshambuliwa Alhamisi.
jeshi la majini la Iran liliweza kuwaokoa mabaharia 44 kutoka katika meli hizo na vyombo vyote viwili vilikuwa vinawaka moto.
Pandisha zaidi