“Ulisikia namna watoto hawa walivyokuwa wazuri. Hukuonyesha majuto na kuomba msamaha au sikitiko au heshima au hata kusema nimekosa.”
Hussein Masoud Eid pia amepigwa faini ya Shilingi milioni 90 za Kenya. Iwapo atashindwa kulipa fedha hizo atatumikia miaka mitano zaidi jela.
Muswada huo ukipitishwa utarahisishia serikali ya nchi hiyo kuwarudisha watu katika nchi ambazo hazina mkataba wa muda mrefu nao, kama vile upande wa bara wa taifa la China.
"Kwa kutofanyiwa credit rating, benki nyingi za kimataifa zenye mikopo ya riba nafuu zitaendelea kuogopa kutukopesha kwa sababu hazina uhakika kama tutalipa au la.
Jeshi linatuhumiwa kuwashambulia waandamanaji na kusababisha watu kadhaa kupoteza maisha mjini Khartoum
“kwenye mkataba wa ujenzi wa bandari hiyo kulikuwa na vipengele vya ovyo”.
Safari za anga za juu kabisa zitafanyika mara mbili kwa mwaka, au tutapeleka wanaanga 12 kwa mwaka,
“Na wala Siamini kuwa tishio hilo limepungua,” McKenzie amesema, “ Na amini tishio hilo ni la uhakika.”
Boris Johnson anaonekana kuwa nafasi kubwa ya kushinda nafasi hiyo
"Wakati tukimaliza mkutano, mara mawe yalikuwa yanatupwa na polisi walijibu vurugu hizo kwa kurusha mabomu ya machozi..," Balozi aeleza.
China inawajengea uwezo huo serikali katika bara la Afrika, Asia, mpaka Amerika ya Kati.
Thomas Kwesi Quartey, naibu mwenyekiti wa Tume ya AU na Philippe Wang, makamu wa rais wa Huawei Afrika Kaskazini, walisaini mkataba wa makubaliano wiki iliyopita katika makao makuu ya AU
Uwezekano wa kuwepo uchunguzi huo ni dalili ya ukosoaji dhidi ya kampuni hiyo uliofanywa na uongozi wa Rais wa Marekani Donald Trump...
Mkuu huyo wa polisi amesema majibishano ya risasi na maafisa wa polisi yalisaidia kumzuia mtuhumiwa huyo kuuwa watu wengi zaidi.
Watu hao waliosafirishwa kutoka Libya walikuwa wako kizuizini katika mazingira mabaya mjini Tripoli, UNHCR imesema.
Taarifa kutoka Budapest zinaeleza kuwa watu 7 wamefariki na wengine 21 hawajulikani walipo.
Mueller hakuweza kumsafisha Trump kuwa hana makosa, akieleza matukio 11 ambayo yanaweza kuwa ni vitendo vya kuzuia sheria kuchukua mkondo wake.
Jumamosi iliyopita, wanakijiji walimuua mfanyakazi wa afya katika sekta ya afya huko Mabalako.
Mwaka 2018, Afrika imesajili matumizi ya bangi yenye thamani ya kustaajabisha ya paundi bilioni 37 inayotumika barani humo.
Vituo vinavyo tibu Ebola DRC vimekuwa vikishambuliwa na hivyo wafanyakazi wanaokabiliana na ugonjwa huo wameshindwa kufikia maeneo yenye milipuko.
Pandisha zaidi