Rais wa Marekani pia ameeleza ana imani kuwa kiongozi wa Korea Kaskazini “ ataweka ahadi yake kwangu” kwa kuanza kuondoa silaha za nyuklia.
Mahakama Kuu nchini Kenya Ijumaa imeendeleza marufuku dhidi ya ushoga,na hili linafanya adhabu ya kifungo cha miaka 14 jela kwa wale wenye mahusiano ya jinsia mmoja kuendelea kutumika katika taifa hilo la Afrika Mashariki.
Ujerumani wanafunzi walielekea makao makuu ya Benki Kuu ya Umoja wa Ulaya (ECB) kuishinikiza iache kufadhili viwanda vya mafuta venye kuleta uchafuzi wa hali ya hewa.
Serikali ya Rais John Magufuli tangu kuingia madarakani imeagiza mazungumzo juu ya miradi yote mikubwa ya wawekezaji wa kigeni yafanyike upya.
Rais : “Hatutatoa fursa yeyote ghasia kufanyika, hasa wale ambao wataleta uharibu wa nchi ya Indonesia”
Dr Abbas : “Tunajua kuwa kuna baadhi ya asasi za kiraia ambazo zinatumiwa na mataifa yenye nguvu ambazo zimepeleka malalamiko UN juu ya hali ya haki za binadamu Tanzania
“Nilimwambia Mungu iwapo nitafanikiwa kuondoka sehemu hii nikiwa hai, nitatoa maisha yangu yote kuwasaidia watu wengine,” amesema.
“Wewe Rais wa Bunge unatumia mamlaka yako vibaya kumwandikia Spika wa Bunge la Tanzania kwamba nirudi nyumbani, mimi sirudi kwasababu sikuchaguliwa na wewe..."
Kenya ilichaguliwa na taasisi ya kimataifa Smart Africa Initiative, inayosimamia kuendeleza soko la pamoja la kidigitali Afrika, mwezi uliopita kutengeneza pendekezo la mpango wa uchumi wa kidigitali kwa ajili ya bara la Afrika
Rais wa Marekani Donald Trump amekutana Alhamisi na Rais wa Uswisi Ueli Maurer katika mkutano wa faragha Ikulu ya Marekani, wengi wanaamini mazungumzo hayo yanahusiana na kuongezeka mvutano baina ya Marekani na Iran.
Katika hali iliyokuwa haijatarajiwa, China imepunguza kiwango cha bidhaa zinazoingizwa kutoka Marekani kwa kiwango cha dola za Marekani bilioni 6.5...
CATO : "...amesema takriban nusu ya wahamiaji wanaodhaminiwa na familia wana shahada za vyuo vikuu, ambao ni idadi kubwa kuliko ya watu waliozaliwa Marekani."
Liang amesema kuwa Huawei iko tayari “ kuchukua ahadi kufanya vifaa vyetu vifikie viwango vya kutokuwepo ujasusi, na udukuzi wa siri.”
"Vikwazo dhidi ya NGOs vinaathiri uwezo wa jumuiya za kiraia kujipanga, na raia, kuweza kuziwajibisha serikali na kusimamia haki za binadamu,”
Ugonjwa huo unaweza kuenea katika maeneo mengine ya nchi hiyo na kuvuka mipaka katika nchi za jirani ikiwemo Uganda, Rwanda na Sudan Kusini, WHO imeeleza uwezekano huo.
Marekani imeongeza ushuru kutoka asilimia 10 hadi 25 kwa bidhaa zinazoingizwa nchini Marekani kutoka China zenye thamani ya dola bilioni 200.
WHO imesisitiza kunahitajika msukumo mkubwa wa msaada wa kisiasa na kifedha kutoka kwa wahusika nchini DRC na Kimataifa kukabiliana na hali hiyo tata.
Ni asilimia 20 ya wananchi wa Afrika Kusini ni wenye kipato cha kati, kati yao asilimia 50 ni Waafrika weusi,
“ unaweza kuona pande mbalimbali za dunia wakati serikali zikikabiliwa na matatizo au wakifanya kitu ambacho wananchi hakiwapendezi kama vile mapinduzi, kupinga matokeo ya uchaguzi, ndio wakati ambao huvifungia vyombo hivyo vya habari.
Sauti ya Amerika (VOA) ni taasisi kubwa yenye aina mbalimbali za majukwaa ya matangazo ya habari za kimataifa, inayoandaa maudhui katika lugha zaidi ya 45 kwa wasikilizaji wenye kukabiliwa na ufinyu wa kupata habari au hawana njia ya kupata habari kutoka vyombo vilivyo huru.
Pandisha zaidi