Marekani imeipa serikali ya Kenya zaidi ya dola za Marekani nusu bilioni kwa ajili ya kusaidia masuala ya ulinzi... bila ya kusisitiza utumike kwa tiba ya afya ya akili.
Kipchoge aliwabwaga wanariadha Mosinet Geremew na Mule Wasihun raia wa Ethiopia ambao waliweza kumaliza mbio hizo katika nafasi ya pili na ya tatu
Jumamosi ilikuwa ni siku ya mwisho ya sikukuu ya Wayahudi ikiwa ni kumbukumbu ya kukombolewa kutoka utumwani huko nchini Misri.
“Mmechukua hatua gani kuhakikisha kuwa watu wenu wote duniani wanafahamu ujumbe wenye jinai unaokusudiwa kuwafikia kikundi fulani..."
Bunge lilikuwa limetoa maelekezo kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu likiwataka polisi kuacha mara moja kumzuia Bobi Wine kufanya maonyesho ya matamasha yake.
Papa amewahimiza watu kuacha vitendo vya kukimbilia utajiri na kujilimbikizia mali ambazo ni vitu vya kupita.
Taarifa zinaeleza maeneo yaliyoshambuliwa mjini Colombo ni makanisa matatu na hoteli ikiwemo Shangri-La, Kingsbury, Cinnamon Grand na Tropical Inn karibu na makazi ya wanyama pori. Waziri Mkuu Ranil Wickremesinghe ameitisha mkutano wa baraza la usalama Jumapili.
Washukiwa saba walikamatwa na vyombo vya usalama na wengine watatu kuuawa katika nyumba moja iliyoko mji mkuu wa Sri Lanka, Colombo
Jeshi la Misri, ambalo tayari linanguvu kubwa za kiuchumi na kisiasa nchini Misri, pia litaongeza jukumu lake la kusimamia mahakama za uhalifu, iwapo kura hiyo itapitishwa.
IMF imesema kuwa uchumi wa Tanzania unaharibiwa na sera za serikali zisizotabirika na zinazoingilia kati maamuzi” katika ripoti yake ambayo imezuiliwa kuchapishwa na nchi hiyo.
Barr ametoa barua fupi yenye muhtasari wake juu ya mambo aliyoyabaini Mueller, na lililochukua uzito ni kuwa kampeni ya Trump haikushirikiana na Russia...
Wakati huohuo Rais Cyril Ramaphosa anaegombea muhula wake wa kwanza anaahidi mageuzi makubwa.
Mdemokrat Jerrold Nadler amesema mambo “yanajieleza yenyewe mwanasheria mkuu alichukua hatua za kufupisha taarifa hiyo na kuchagua mambo anayotaka katika barua yake aliyotuma kwenye bunge la Marekani Machi 24."
Wizara ya Mambo ya Nje nchini Kenya imezitaka familia za wahanga wa ajali hiyo ya Shirika la Ndege la Ethiopia kutafuta kibali cha uwakilishi kutoka mahakamani ili waweze kupata fidia.
Sipri inatarajiwa kutoa matumizi ya kijeshi ya mwaka 2018 mwezi Mei.
Uhalifu wa silaha ni nadra nchini Australia, ambayo iliboresha sheria za udhibiti wa silaha kufuatia shambulizi lililofanywa na mtu mmoja mwenye bunduki mwaka 1996
Burhani ameongeza kwamba serikali ya kiraia itaundwa baada ya majadiliano na upinzani katika kipindi cha mpito ambacho kitadumu kwa muda wa miaka miwili.
Kiir na Machar walianza mkutano huo na Papa Francis siku ya Jumatano, kwa madhumuni ya kutafuta njia ya kuleta amani ya kudumu katika taifa hilo changa zaidi duniani.
Taarifa zaidi zinaeleza Rais al-Bashir amejiuzulu, kufuatia shinikizo la jeshi la nchi hiyo baada ya miezi minne ya maandamano yakipinga utawala wake uliodumu kwa miaka 30.
Rais wa Marekani, Donald Trump amesema kuchaguliwa tena kwa kiongozi huyo ni ishara nzuri ya amani.
Pandisha zaidi