ratiba ya matangazo
19:30 - 20:29
Mjadala wa Live Talk kuhusu maandamano yanayoendelea kushuhudiwa nchini Kenya, na namna vijana wanavyoyachukulia.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.