ratiba ya matangazo
19:30 - 19:59
Mjadala mkubwa waibuka kuhusu hatma ya chama cha ANC baada ya kukosa kupata wingi wa bunge unaohitajika ili kuunda serikali.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.