ratiba ya matangazo
19:30 - 19:59
Dunia imeadhimisha siku ya wakimbizi huku baadhi yao wakielezea mazingira magumu katika kambi wanazoishi hawana dawa na chakula cha kutosha
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.