ratiba ya matangazo
19:30 - 20:29
21:00 - 21:29
Wakaazi nchini Kenya wanaandamana wakishinikiza serikali ya Rais Ruto kuondoa ushuru katika bidhaa muhimu ikijumisha mkate na sukari.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.