ratiba ya matangazo
19:30 - 19:59
Taliban nchini Afghanistan wanaukaribisha mwaliko wa Umoja wa Mataifa katika mkutano wa kimataifa huko Qatar baadaye mwezi huu.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.