ratiba ya matangazo
19:30 - 19:59
Iran kufanya duru ya pili ya uchaguzi wa rais baada ya mshindi kutopatikana katika raundi ya kwanza
Iran itafanya duru ya pili ya uchaguzi wa rais, kuamua ni nani atachukua nafasi ya rais wa zamani marehemu Ebrahim Raisi, afisa mmoja alisema Jumamosi, baada ya uchaguzi wa awali kutobainisha mshindi wa moja kwa moja.