ratiba ya matangazo
19:30 - 20:00
Hatma ya ANC yazua mjadala mkubwa Afrika Kusini, baada ya kushindwa kupata wingi unaohitajika kuunda serikali mpya moja kwa moja.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.