Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Mei 05, 2025 Local time: 16:43

Raia wa Argentina wasema ushindi wa Kombe la Dunia umewapunguzia mawazo ya ukakasi wa kiuchumi


Raia wa Argentina wasema ushindi wa Kombe la Dunia umewapunguzia mawazo ya ukakasi wa kiuchumi
please wait

No media source currently available

0:00 0:11:26 0:00

Kutoka Qatar hadi mji mkuu wa Argentina sherehe zimefanyika usiku kucha kuamkia siku ya leo baada ya timu ya Argentina kutwaa ushindi wa dunia. Ushindi huo unaipatia Argentina nyota tatu. Mashabiki wa Soka watoa heshima kwa nguli wa soka Diego Maradona.

Ungana na waandishi wa VOA kutoka Qatar na Washington DC wakikuletea tathmini ya kumalizika kwa Kombe hilo la Dunia na mambo mbalimbali yaliyojiri baada ya Argentina kuibua kidedea. Endelea kuwasikiliza..

XS
SM
MD
LG