Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan atangaza nia ya kufanyika kwa marekebisho ya kikatiba pamoja na kuruhusu tena mikutano ya kisiasa. Ruhusa ya mikutano ya hadhara ni miongoni mwa agenda za muda mrefu ya vyama vya upinzani. Januari 3, 2023 Ikulu Jijini Dar es Salaam Rais Samia amesema; "Uwepo wangu leo mbele yenu ni kuja kufanya ruhusa, kuja kutangaza liletangazo la kuzuia mikutano ya hadhara Sasa linaondoka."
Matukio
-
Machi 14, 2025Changamoto za ulezi wa watoto walemavu kiakili Kenya
-
Februari 28, 2025Waislamu wajitayarish kwa Ramadhani
-
Februari 27, 2025Ethiopia na Somalia waimarisha uhusiano wao
-
Februari 18, 2025Nini kilichosababisha Raila Odinga kushindwa katika uchaguzi wa AU?
-
Februari 11, 2025Naibu Katibu Mkuu aeleza hatua za dharura zinazochukuliwa DRC