Zoezi la kutegua mabomu ya ardhini nchini Ukraine. Mabomu hayo yanadaiwa kuwekwa na wanajeshi wa Russia baada ya kuondoka katika maeneo waliokuwa wameyavamia. Zoezi hilo la kutegua mabomu linaendeshwa na mwanajeshi mstaafu wa Marekani. Sikiliza repoti kamili ya mwandishi wetu kuhusu zoezi hilo na jinsi mwanajeshi huyo mstaafu anavyoendesha zoezi hilo... #ukraine #kyiv #mabomu #uteguaji #gruneti #russia #wanajeshi #mamlaka #voa #voaswahili
Mwanajeshi mstaafu wa Marekani asaidia kutegua mabomu Ukraine
Matukio
-
Machi 14, 2025
Changamoto za ulezi wa watoto walemavu kiakili Kenya
-
Februari 28, 2025
Waislamu wajitayarish kwa Ramadhani
-
Februari 27, 2025
Ethiopia na Somalia waimarisha uhusiano wao
-
Februari 18, 2025
Nini kilichosababisha Raila Odinga kushindwa katika uchaguzi wa AU?
-
Februari 11, 2025
Naibu Katibu Mkuu aeleza hatua za dharura zinazochukuliwa DRC