Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Mei 06, 2025 Local time: 16:15

VOA Mitaani: Maoni ya Wakenya kuhusu watu kutoka nje ya ndoa


VOA Mitaani: Maoni ya Wakenya kuhusu watu kutoka nje ya ndoa
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:28 0:00

Shirika la Takwimu nchini Kenya limetoa ripoti inayoonyesha kwamba baadhi ya Wakenya wanajihusisha na mahusiano ya mpenzi zaidi ya mmoja.

VOA Mitaani inakuletea mahojiano na watu wa rika mbalimbali wakieleza hisia zao na sababu mbalimbali zinazopelekea watu kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja. Ungana na mwandishi wetu wa Mombasa, Kenya akikuletea ripoti kamili...

XS
SM
MD
LG