Je, unajua kiwango cha biashara inayofanywa barani Afrika?Ungana na mwandishi wetu akukuletea maelezo ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki akilinganisha biashara inayofanywa na bara la Afrika na mabara mengine duniani. Endelea kusikiliza...
Matukio
-
Machi 14, 2025Changamoto za ulezi wa watoto walemavu kiakili Kenya
-
Februari 28, 2025Waislamu wajitayarish kwa Ramadhani
-
Februari 27, 2025Ethiopia na Somalia waimarisha uhusiano wao
-
Februari 18, 2025Nini kilichosababisha Raila Odinga kushindwa katika uchaguzi wa AU?
-
Februari 11, 2025Naibu Katibu Mkuu aeleza hatua za dharura zinazochukuliwa DRC