Sudan na Ethiopia wafikia makubaliano ya bwawa lenye utata
Kiongozi wa kijeshi wa Sudan asema nchi yake na Ethiopia zimekubaliana katika masuala yote kuhusu bwawa lenye utata la Grand Ethiopian Renaissance Dam. Endelea kusikia maafikiano yaliyofikiwa juu ya kadhia hiyo na nini serikali hizo mbili zimekubaliana. Endelea kusikiliza ripoti kamili...
Matukio
-
Machi 14, 2025Changamoto za ulezi wa watoto walemavu kiakili Kenya
-
Februari 28, 2025Waislamu wajitayarish kwa Ramadhani
-
Februari 27, 2025Ethiopia na Somalia waimarisha uhusiano wao
-
Februari 18, 2025Nini kilichosababisha Raila Odinga kushindwa katika uchaguzi wa AU?
-
Februari 11, 2025Naibu Katibu Mkuu aeleza hatua za dharura zinazochukuliwa DRC