Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Mei 06, 2025 Local time: 22:16

Watoto wa familia za kipato cha chini wanufaika na mafunzo maalum ya teknolojia kwa gharama nafuu


Watoto wa familia za kipato cha chini wanufaika na mafunzo maalum ya teknolojia kwa gharama nafuu
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:56 0:00

Mtayarishaji programu za kompyuta atoa mafunzo maalum katika kitongoji cha Kibera nchini Kenya kwa watoto wa familia za chini.

Ungana na mwandishi wetu akikuletea juhudi hii inayoendeshwa kwa ufadhili wa taasisi mbalimbali kuwasaidia watoto wa familia zenye kipato duni ilikuwapa fursa ya kujifunza taaluma mbalimbali. Endelea kusikiliza..

XS
SM
MD
LG