Kenya: aftermath of Al Shabab attack
Hali baada ya mashambulio ya Al-Shabab Garissa Kenya
1
Wanajeshi wakishika zamu mbele ya chuo kikuu cha Garissa kilichofungwa baada ya shambulizi la Alhamisi
2
Moja kati ya walojeruhiwa wakiwasili katika hospitali ya Kenyatta mjini Nairobi
3
Mmoja kati ya majeruhi wakishushwa kutoka ndege baada ya kuwasili hopitali kuu ya Kenyatta mjini Nairobi.
4
Muathiriwa aliyejeruhiwa vibaya huko Garissa akiwasilishwa hospitali ya Kenyatta Nairobi