Mapigano kati ya wanamgambo wa Sudan na Jeshi yaendelea
Kikundi cha wanamgambo wa Sudan, kikosi cha usaidizi wa haraka cha wanamgambo, RSF, na jeshi la ulinzi la Sudan wameshambuliana kwa bunduki mjini Khartoum na meneo mengine nchini tangu siku ya Jumamosi katika jitihada ya kuudhibiti mji huo.

1
Mkuu wa Majeshi ya Sudan Abdel Fattah al-Burhan (L) na Kamanda wa kikosi cha usaidizi wa haraka cha wanamgambo RSF.Jenerali Mohamed Hamdan Dagalo (Hemedti) (R). Mapigano yamerindima kwa siku ya pili nchini Sudan April 16 baada ya mapambano makali kati ya majenerali mahasimu yaliyouwa darzeni ya watu na kujeruhi takriban watu 600, na kuibua waswasi wa kimataifa. (AFP)

2
Gari la kijeshi na wanajeshi kadhaa wanaoelezwa kuwa ni wa jeshi la ulinzi la Sudan wakionekana mitaani huko Khartoum, Sudan.(Reuters).

3
This picture taken on April 16, 2023, shows Sudanese army soldiers, loyal to army chief Abdel Fattah al-Burhan, posing for a picture at the Rapid Support Forces (RSF) base in the Red Sea city of Port Sudan. (AFP)

4
Moshi mzito ukitanda kutoka katika lami ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Khartoum wakati moto ukiwaka huko Khartoum, Sudan (Reuters).